Wiki hii tupo hapa katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Mbeya kwenye maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa 🇹🇿 Karibu kwenye banda letu upate elimu kuhusu fedha na manufaa yake bila kusahau huduma zetu zilizo bora ✅ Unaweza kutupigia BURE kupitia 0800110110 kwa maelezo na msaada zaidi ☎️ 📍Ruanda-Nzovwe, Mbeya #DTBReels #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs #WikiyaHudumazakifedha2024
DTB Tanzania Plc
Banking
Dar es salaam, Dar es salaam 17,720 followers
Bank With Us, Bank On Us.
About us
Established in 1945, DTB Tanzania is a full-fledged commercial bank with a network of 28 branches and 28 ATM locations in major Tanzanian urban centres.
- Website
-
https://diamondtrust.co.tz/
External link for DTB Tanzania Plc
- Industry
- Banking
- Company size
- 201-500 employees
- Headquarters
- Dar es salaam, Dar es salaam
- Type
- Public Company
- Founded
- 1945
Locations
-
Primary
DTB Centre, 991 Kahama Road, Masaki
Dar es salaam, Dar es salaam 255, TZ
Employees at DTB Tanzania Plc
Updates
-
Leo tumepata fursa ya kutoa elimu ya kifedha na manufaa yake bila kusahau huduma zetu zilizo bora ✅ Wiki hii tupo hapa katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Mbeya kwenye maadhimisho ya Wiki ya Huduma za kifedha Kitaifa 🇹🇿 Unaweza kutupigia BURE kupitia 0800110110 kwa maelezo na msaada zaidi ☎️ 📍Ruanda-Nzovwe, Mbeya #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs #WikiyaHudumazaKifedha2024
-
Karibu utembelee banda letu upate elimu juu ya fedha, mikopo, akaunti na huduma nyinginezo ✅ Wiki hii tupo hapa katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Mbeya kwenye maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa 🇹🇿 Unaweza kutupigia BURE kupitia 0800110110 kwa maelezo na msaada zaidi ☎️ 📍Ruanda-Nzovwe, Mbeya #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs #WikiyaHudumazaKifedha2024
-
Restoration of Vision! In partnership with Lions Club Dar es Salaam, we hosted an impactful eye camp at Vijibweni Hospital - Kigamboni, serving over 3,000 residents and distributing 620 eye glasses. Hon. Dr. Faustine Ndugulile, Kigamboni MP and WHO Africa Regional Director, echoed our efforts to enhance healthcare accessibility with a driven cause to restore 10,000 eye sights by 2030 as part of our broader citizenship mission. Together We Can! 🫶🏾 ✨ 🇹🇿 [5th October, 2024 - Kigamboni] #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs
-
Your Future, Your Freedom! With #DTBFarajaAccount, your future is in your hands. Every deposit brings you closer to financial freedom, so you can relax and enjoy life without worries. Relax and enjoy the ride! For more info please visit our nearest branch or Call us FREE at 0800110110 ✨ 🚀 ✅ #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs
-
Honored to receive this recognition for our support in advancing the internal audit profession. We remain committed to fostering knowledge and collaboration in this vital field. 🚀 ✨ 🇹🇿 #DTBTanzania #IIATanzania #BankWithUsBankOnUs
IIA Tanzania is committed to advancing the internal audit profession by enhancing its influence in partnership with our esteemed stakeholders and valued organizations. In this regard, Hon. Hemed Suleiman Abdallah (MP), Second Vice President of the Revolutionary Government of Zanzibar, presented a recognition award to DTB Tanzania Plc for their unwavering support and promotion of the internal audit profession during the month of May. The bank’s audit team played an active role by participating in a knowledge-sharing session as part of Internal Audit Month. We sincerely appreciate DTB's ongoing collaboration. #MayMonth #IIAMay #AnnualConf2024 #IIATanzania
-
Golf and Networking in Arusha! A remarkable atmosphere filled the Arusha Gymkhana Club as clients and team members gathered for an exciting golf tournament marked by friendly competition, laughter and meaningful connections. The event blended challenge and enjoyment seamlessly while providing a platform for networking and relationship-building, emphasizing the significance of memorable experiences beyond business. It was more than just a game! 🏌🏻♀ 🎖️ ✨ #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs
-
Uwajibikaji kwa Jamii kupitia kampeni ya Namthamini! Mwaka huu tumekamilisha kwa mafanikio kampeni ya Namthamini visiwani Zanzibar. Tumefanikiwa kusambaza taulo za kike zaidi ya mia tatu kumi na tano (315) zinazoweza kutumika tena, zinazojulikana kama Tumaini Kits kwa wasichana wa Shule ya Sekondari ya Mwera, Shule ya Sekondari ya Mwera Pongwe na Shule ya Msingi ya Moachi (msingi wa juu). Kampeni hii ni zaidi ya usambazaji wa taulo za kike kwani hujumuisha elimu kuhusu afya ya hedhi, lishe bora na hali njema ya kiakili pamoja na kuwapa ujuzi unaohitajika ili kufaulu shuleni na maishani. Shukrani za pekee kwa washirika wetu, Zanzibar Maisha Bora Foundation na East Africa Television & Radio, kwa kuungana nasi katika kuinua na kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii inayotuzunguka. ❤️ 🏝️ ✨ [4th October, 2024 - Zanzibar] #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs
-
Happy Nyerere Day 🇹🇿 #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs
-
Exciting Career Opportunity: Relationship Manager Are you passionate about building and nurturing client relationships? We're looking for a self-driven professional to manage and build impactful connections within our Corporate Business prortfolio. Apply today and be a key player in shaping our shared success story! ✨ ✅ Click the link below to apply: https://lnkd.in/diQ2Quwm #DTBTanzania #BankWithUsBankOnUs