Dt. Gilbert Charles’ Post

View profile for Dt. Gilbert Charles

Clinical Nutritionist & Dietitian, expert in personalized diet and fitness therapy.

Track your progress by having your own #lifestyle journal where you #record your #diet and #fitness practice daily. With this you can have a full understanding of where you are heading.

View organization page for BodyMind Insights

213 followers

Je wewe huandika mtindo wako wa maisha? Kuweka rekodi ya kile unachokula na namna unavyoshughulisha mwili itakusaidia kujua dira ya safari yako ya kuwa mtu mwenye afya thabiti. Anza kuweka malengo na chukua kumbukumbu ya mtindo wako wa maisha kwa kuandika katika daftari lako muhimu. Kujielewa ni mwanzo wa kujikinga, Kinga ni bora kuliko Tiba. #Lishe #Afya #Mazoezi

  • No alternative text description for this image

To view or add a comment, sign in

Explore topics